alphaigogo.com
Ubatizo wa mzee O.O Igogo. - alphaigogo.com
Jumapili ya tarehe 06/18/2023, mida ya 12:30 asubuhi (masaa ya AfricaMashariki). Mchungaji Aketch wa kanisa la Menonite lililopo Dar es salaam, Tanzania, jimbo la Segerea; alifanya ubatizo wa kuzaliwa upya kwa njia ya maji mengi kwenye bwawa la Golden Tulip hotel, Oysterbay. Miongoni mwa waumini wapya hao katika Bwana, alikuwemo Mzee Otieno Olung'a Igogo ambaye ni baba yangu mzazi. Wahitimu
Alpha Igogo