alphaigogo.com
Ugonjwa wa Kansa: Mionzi peke yake haitoshi kutoa tiba…..! - alphaigogo.com
Asante sana Mzee Dominicus Kihwele kwa somo muhimu sana kwetu sote kuhusu ugonjwa wa Kansa! Kwamba tiba pekee sio mionzi tu... 1. Kila binadamu ana seli za kansa mwilini na ili ziweze kuonekana kwenye vipimo na lazima ziwe zimezaliana kwa wingi. Ukipimwa na kukutwa huna kansa ni kwamba vijidudu havijazaliana hadi kufikia kiwango cha kusomeka katika vipimo. 2. Seli za kansa hujitokeza
Alpha Igogo