alphaigogo.com
Ukifunga “nira” na mchawi basi nawe ni mchawi tuu! - alphaigogo.com
Ngoja niende moja kwa moja kwenye point yangu, kwasababu wote tunajua sasa “hot topic” kwenye siasa za Tanzania. Uwamuzi wa Chadema / UKAWA kusema kuwa watamsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea urais upande wa upinzani ni sawa na “kufunga nira” na mchawi ambapo wote aliyeolewa na muoaji watakuwa wachawi tuu! Sababu ya kusema hivyo ni kwamba hawa hawa Chadema / UKAWA
Alpha Igogo