alphaigogo.com
Ukikubali kuwaongoza lazima wakuhoji! - alphaigogo.com
Kuhojiwa kwa vingozi wa jamii zinazo tuzunguka siyo jambo la kushangaza au la ajabu kwani halikuanza leo wala jana. Ukichukua mamlaka ya kuongoza watu basi lazima uwe teyari kuhojiwa kwani wana haki ya kufanya hivyo. Japo saa nyingine wanaokuuliza wanaweza wakakukwaza na maswali yao lakini kama kiongozi unakuwa hauna haki ya kuwakataza au kuwazuia kukuhoji pale wanapojisikia kufanya hivyo. Kunawengine wanaweza kuhoji
Alpha Igogo