alphaigogo.com
Ukimwi upo lakini tiba yake hakuna! - alphaigogo.com
Leo ni maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani! Jamani, tunakubali yakwamba UKIMWI ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine lakini tofauti yake ni kuwa UKIMWI HAUNA TIBA NA UNAWEZA KUUEPUKA! Kama unao basi wewe fata masharti ya kula vizuri na kuzuia kuambukiza wengine, kisha mwombe Mungu akupe hekima na amani kwa maisha yako kama wengine kwani wote hapa duniani tunaishi kwa
Alpha Igogo