alphaigogo.com
UKIMWINDA SANA MJUSI ANAGEUKA NYOKA. -Peter Sarungi - alphaigogo.com
UKIMWINDA SANA MJUSI ANAGEUKA NYOKA. Huu ni msemo wa wahenga ambao uhalisia wake unaonekana mara chache porini lakini hutokea sana kwa maisha ya binadamu. Naamini kuna watu walisha wahi kumwinda mjusi kipindi walipokuwa watoto na katika kumwinda mjusi gafla walipo toa jiwe wakakutana na nyoka, inapofika hapo lazima hali ya hatari itatokea. Naiona nchi yangu kwa mbali inakaribisha hali ya hatari. Mkuu wa
Alpha Igogo