alphaigogo.com
“Ukiniuliza Mimi nitakuambia huyo asiyekua lolote wala chochote Leo ndio mzuri….”~~~Rose Shaboka - alphaigogo.com
Nguo unayoinunua dukani ikiwa READY MADE wakati mwingine sio rahisi kuirekebisha iwe exactly unavyotaka. Lakini nguo unayoenda kushona kwa Fundi kuanzia mwanzo ni rahisi sana kuitengeneza ikawa exactly kile unachotaka. Msichana unayetaka na kuomba mwanaume ambaye tayari ana kila kitu (ready made) hujui unachokiomba. Sio vibaya ukipata mtu ambaye ana kila kitu tayari lakini nakuambia usimkatae wala kumdharau huyo ambaye
Alpha Igogo