alphaigogo.com
UKIPINGWA NA MKUU, VIZURI UKAJIWAJIBISHA. -Peter Sarungi - alphaigogo.com
UKIPINGWA NA MKUU, VIZURI UKAJIWAJIBISHA! Ingawa ni vigumu kupata tamaduni za kuwajibika kwa viongozi wengi wa Afrika lakini bado kuna kila ulazima wa kuwakumbusha viongozi wetu na hata kuwafunza vijana ambao ni kizazi kinachochukua dhamana kutoka kwa wazee wetu juu ya umuhimu na faida za kuwajibika mwenyewe bila kushurutishwa. Watanzania tunafunzwa na viongozi wetu kuwa na tabia za ajabu sana unapopata madaraka,
Alpha Igogo