alphaigogo.com
UKIWA MDHAMBI USIHUKUMU WADHAMBI- Peter Sarungi - alphaigogo.com
UKIWA MDHAMBI USIHUKUMU WADHAMBI. Niliwahi kusema kwamba vita alivyo chagua Makonda ni vita vinavyo hatarisha ustawi wa maisha yake. Mpaka sasa Mh. Makonda anapigana vita nne kwa yeye kuanzisha vita moja ya madawa. 1. Vita juu ya uhalali wa mali zake 2. Vita juu ya uhalali wa Elimu yake 3. Vita vya kisheria dhidi yake mahakamani 4. Vita dhidi ya Bunge na maazimio yake Maandiko matakatifu yanaeleza
Alpha Igogo