alphaigogo.com
umejiandikisha? BADO?! Wasubiri nini? - alphaigogo.com
Hujajiandikisha unasubiri nini? Yani hata wazee wetu wamekupita? Prof. Sarungi pamoja na utuuzima wake kapanga foleni kasubiri na kajiandikisha, halafu wewe unasemaje ati?! Haya embu nenda sasa na umpitie na jirani yako!
Alpha Igogo