alphaigogo.com
Umesikia kuhusu Samaki bandia (wa plastic)?! - alphaigogo.com
Umesikia au kuona hii?! Naamini wengi mmesikia nankuona mchele bandia sina huwakika kama wengi wameona kituko hiki! Juzi nilitumiwa video inayo onyesha mtu amenunua Samaki bandia katika moja ya maduka / supermarket ya Waafrica huko London. Kwakweli inaogopesha sanaaaaaa! Shetani ameamua kutuangamiza kwa njia ya vyakula baada ya kuona watu wanahimizwa kula vyakula bora haswa kuachana na nyama nyekundu! Embu
Alpha Igogo