alphaigogo.com
I upgraded Ruge Mutahaba! - alphaigogo.com
Mmeona shemeji yangu Ruge jinsi alivyo ongea kisomi?! 'Kijana' kaongea kwa ma-confidence kama Rais bwana (in Haya's accent)! Yani huyu Muhaya ni kichwa usipime! Na sasa nimeamua kum- upgrade siyo Loser tena ni Hero wa Watanzania. Na kwakuwa ni mambo ya kupokezana kijiti basi kijiti chake kipo pending kwasasa mpaka report ile ya tume ya Nape Mnauye itakapo kamilika halafu
Alpha Igogo