alphaigogo.com
“UPINZANI TANZANIA UMEPOOZA, BADILISHENI MBINU ZA MAPAMBANO. MSIPO BADILIKA MTAZAA UASI WA NCHI.”-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Nchi yoyote inayofuata utawala na siasa za kidemokrasia ni lazima kuwe na upinzani imara kwa manufaa ya utawala bora kwa nchi. Tanzania ni moja ya nchi yenye siasa za kidemokrasia kupitia vyama vingi. Moja ya Upinzani Imara kuwahi kutokea Tanzania ni pale vyama vinne vya siasa vilivyoamua kujiunga pamoja na kuunda muungano uitwao UKAWA. Ni Ukweli kuwa nguvu kubwa ya
Alpha Igogo