alphaigogo.com
“USHABIKI WA VYAMA VYA SIASA NI TOFAUTI NA USHABIKI WA VILABU VYA MICHEZO.” – Peter Sarungi - alphaigogo.com
Na Peter Sarungi (Next Speaker) Nakumbuka tangu nilipoanza kufuatilia mchezo wa mpira wa miguu nikiwa darasa la kwanza katika shule ya walemavu (Salvation Army) sijawahi kuhama Yanga pale nilijikuta nafurahia timu ya Yanga chini ya wacheza nyota kipindi hicho kama lunyamila, chambua, mohamed machinga na wengine wengi. Desturi ya ushabiki wa vilabu vya michezo katka historia ya soka inaonesha kuwepo kwa
Alpha Igogo