alphaigogo.com
Usitumie simu ikiwa kwenye umeme, ni hatari!….. Don’t use cellphone while charging, it is dangerous! - alphaigogo.com
Binti ameungua uso baada ya simu ya mkononi kulipuka usoni mwake! Binti huyu ambaye anasadikika kuwa ni mdogo wake Mansour Yussof Himid na Shadya Karume alikuwa akitumia simu wakati ikiwa kwenye charger nahapo ndipo ilipo mlipukia na kuunguza uso wake vibaya sana kama inavyo onekana kwenye video! Jamani tahadharini kutumia simu ikiwa iko kwenye charge please! Na watoto pia musiwaruhusu
Alpha Igogo