alphaigogo.com
Vazi la Michelle Obama laleta tafran’ kwa Facebook! - alphaigogo.com
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani kabla ya Donald Trump, Malia Obama asubuhi ya leo alipost picha ya mama yake akiwa vacation kwenye visiwa fulani huku akiwa amevalia vazi la ufukweni. Mama Obama alionekana kama alikuwa anapanda kwenye boat ambapo upepo ulipuliza na kuacha sehemu kubwa ya mapaja yake wazi. Kuna watu ambao hawakupendezwa na hiyo picha kuonyeshwa kwenye public,
Alpha Igogo