alphaigogo.com
Very Proud of My Nyamisi! - alphaigogo.com
Nyamisi siku ya JumaMosi wakati wa Sabato aliimba wimbo wa kwanza kufungua ibada ya watoto. Hongera sana Nyamisi, Mungu akuongoze kipaji chako kikapate kukuwa ukamtukuze, ukamsifu, na kumuinua Mungu hapa duniani na Mbinguni . Very proud of you my gal! Nyamisi pamoja na kuzaliwa na kulelewa nchi za Ulaya lakini anaweza kuongea, kusoma, na kuimba kwa Kiswahili bila shida yoyote ile.
Alpha Igogo