alphaigogo.com
“VYAMA VYA SIASA VINADUMAZA FIKRA ZA WAFUASI WAO NA WANASIASA WAO?”- Peter Sarungi - alphaigogo.com
Wakati fulani naonaga hakuna haja ya kuangaika kusoma mpaka hata PHD na Uprofesa ikiwa haisaidii kutatua matatizo ya jamii hasa ukizingatia jamii inakuchukulia kama kioo cha kujifunza. Aibu hizi za wasomi kutumia akili za kushikishwa zinazowakumba wengi hasa wasomi wa kiwango cha juu sio Tanzania tu bali ni karibia Afrika nzima, madudu haya yanasababishwa na uwepo wa mifumo kandamizi na
Alpha Igogo