alphaigogo.com
Wajibika program by NBC - alphaigogo.com
Tafadhali naomba ifahamike yakuwa mimi binafsi (Alpha) sijui kitu chochote kuhusu hii program japo nimeona ni nzuri. Hivyo mtafute Jokate Mwegelo #Kidoti au wakala wa NBC wakuelimishe zaidi kabla ya kujiunga. Asanteni kwa kunielewa.
Alpha Igogo