alphaigogo.com
WALEMAVU WALIOPATA FURSA WAMEJISAHAU SANA-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Kuna msemo wa wahenga unasema ALIYESHIBA HAMKUMBUKI MWENYE NJA. Haya maneno nilidhani yanatumika kwa watu nisio wajua tu kumbe hata watu ninao wajua na ambao tena wapo kwenye jamii nyonge ya watu wenye ulemavu. Watu wenye ulemavu sasa wamefikia Milion 4, jamii hii bado imeendelea kukumbwa na umaskini mkubwa unao sababishwa na ugumu wa mazingira wanayokutana nayo katika kutafuta maisha
Alpha Igogo