alphaigogo.com
Walijua hili? - alphaigogo.com
Okay, wanawake wenzangu ambao mnapenda kuvaa lace wigs. Siunajua lazima ukate ile lace pale mbele na sanyingine lace huwa inabaki kidogo, na mara nyingi huwa inaoneka kwasababu huwa haifanani na ngozi ya kichwa chako. Naomba uzingatia yakwamba; hii ni kwa zile 100% lace-wigs na siyo other types! Basi nimejifunza (from The Real Talk Show) kuwa unaweza uka chukua maji ya moto
Alpha Igogo