alphaigogo.com
#Walk Away! - alphaigogo.com
Yap! Unajua kila kizuri hakikosi kasoro zake. Kwa mfano hizi social media ni nzuri inatukutanisha na ndugu zetu wambali, rafiki zetu wa miaka mingi, watu wanafanya biashara humo, injili ya Mungu inahubiriwa humo kama juzi nilifurahiya kushiriki injili iliyo hubiriwa na Masanja Mkandamizaji #Usiruke number!......Lakini shetani naye yupo vitani 24/7 hivyo hutumia hizo hizo social media kufanya kazi yake. Usishangae
Alpha Igogo