alphaigogo.com
Walk for autism! - alphaigogo.com
Kesho ni siku ya Autism duniani. Ni siku ua kuelimisha jamii zinazo tuzunguka juu ya ugonjwa huu, na changamoto ambazo wazazi pamoja na watoto wanazipata!........Mwaka jana nilitoa ahadi ya kushiriki matembezi haya (Autism ) lakini kwa bahati mbaya kutoka na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wangu sitaweza. Mungu wangu anajua kuwa ninajali na ninaomba afungue njia kwa madaktari waweze
Alpha Igogo