alphaigogo.com
Wana BCoy, Ruvu 91 wajumuika pamoja - alphaigogo.com
Wana BCoy Ruvu 91 wakiwa kwenye kikao cha umoja wao kilicho fanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Mmh! Nimesahau kuuliza majina yao ?? but kama wewe ni Alumni wa BCOY Ruvu 91 basi unaombwa kujumuika na wenzako waliopo kwenye picha Mwl. Nkuba next time please toa utambulisho basi ??....... anyway nice pictures UPDATES:Mr Casmir Nkuba na Ms. Jacky baada ya
Alpha Igogo