alphaigogo.com
“Wanaume wenzangu! To spare maneno tusiongee kila kitu. Kwa wake zetu” *** Harris Kapiga - alphaigogo.com
Reposted from @harriskapiga Huu ni waraka kwa Wanaume! Walio kwenye ndoa! Wasio kwenye ndoa! Na walio na wachumba! Familia ya Harris Kapiga katika picha Si kila kitu cha kuonge na mkeo / mchumba wako, hasa mapungufu ya wazazi wako! Walezi wako, jamaa zako wakaribu ndugu zako, Boss wako! Kazini / kwenye biashara yako! Wanaume wengi huwa tunadhani tunanogesha penzi kumbe
Alpha Igogo