alphaigogo.com
“Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 16 tu….!” - alphaigogo.com
WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe............ Ukiona Mwanamke ana WIVU NA WEWE, anakufuatilia mambo yako, uko wapi, umekula, umekula nini, umekula saa ngapi, kwanini hujalala, kwanini umepiga picha na mdada asiyemjua, kwanini hujamtafuta nusu saa, kwanini uko Online Whatsapp lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA,
Alpha Igogo