alphaigogo.com
Wapo watu wenye tabia za Chatu huyu - alphaigogo.com
Ilikuwa kawaida yake kulala na nyoka wake, na haya ndiyo yaliyomkuta. Hii ni hadithi ya kweli kuhusu mwanamke aliyekuwa na nyoka wake aina ya chatu aliyempenda sana. Nyoka alikuwa na urefu wa mita 4, aliishi naye kwa muda mrefu na siku zote nyoka yule alionekana mwenye afya. Hata hivyo, nyoka alianza kukosa hamu ya kula kwa wiki kadhaa jambo lililomnyima raha
Alpha Igogo