alphaigogo.com
Watanzania yatupasa kubadilika- Sehemu ya Pili (Mwisho wa Mazoea) - alphaigogo.com
Nakumbuka nimeanza kutambua haki yangu ya kupiga kura mwaka 2000 nilipokuwa kidato cha kwanza na nilishiriki nikiwa na uwezo wa kupambanua sera, ahadi na siasa za wagombea. Hivyo nilishiriki mwaka 2000, 2005, 2010 na 2015. Takribani awamu tatu za utawala nazishuhudia mpaka sasa. Wanasiasa wengi waligeuza siasa kuwa ni uwanja wa kushawishi kwa kusema uongo wakati wakiomba kura, kuna wakati ilijengeka
Alpha Igogo