alphaigogo.com
Watanzania yatupasa kubadilika – Sehemu ya kwanza: (MIAKA 10 ILIYOPITA) - alphaigogo.com
Miaka mitatu nyuma watanzania wengi walijikuta wakiwa katika hali ya kukata tamaa baada ya mifumo mingi ya serikali na uendeshaji wake kutokidhi mahitaji ya watanzania ki uchumi, siasa na jamii. Mimi nilikuwa mmoja wapo niliyekuwa naumia sana nilipokuwa nikipata taarifa za utendaji wa serikali na vitengo vyake kama polisi, mahakama, ardhi, afya, elimu, uchumi na mbaya zaidi ni taarifa za ufisadi
Alpha Igogo