alphaigogo.com
WATANZANIA YATUPASA KUBADILIKA - alphaigogo.com
Sehemu ya tatu: (Wafanyabiashara Badilikeni) Wafanyabiashara ni wadau muhimu sana wa amani na ustawi wa nchi. Wao ndio chachu kuu ya ukuaji wa uchumi wa nchi pamoja na mwananchi mmoja mmoja. Nchi yoyote dunia ingependa iwe na wafanyabiashara wazalendo au wafanyabiashara wenye kufuata taratibu na sheria za biashara zilizowekwa ili nchi hiyo iweze kufaidika na biashara husika. Mfanyabiashara mzalendo sio lazima awe
Alpha Igogo