alphaigogo.com
“Watenda wema wa ukweli, hutenda wema kwasababu ni hulka yao na sio malipo kutokana na mtu wanayemtendea wema alivyo”***** Faraja Nyalandu - alphaigogo.com
Prince Harry and his wife Meghan Markle Reposted from @farajanyalandu Najua kipindi hiki cha #COVID19 tunaweza kusahau uwezo wa binadamu kupambania jambo lake. Kwa sasa hivi tunapambana na hiki kirusi cha corona. Kimetukumbusha wasiwasi ndio maarifa bila kupepesa macho.Hapo nyuma niliwafurahia sana Prince Harry na Meghan wake. Waliamua jambo lao, waliamua watapendana. Mapenzi ni rahisi kuliko upendo. Upendo huwa
Alpha Igogo