alphaigogo.com
Watoto na vipaji - alphaigogo.com
Kama mmoja ya wazazi walio zaliwa na kukulia katika mazingira ya kiafrica ambapo wengi wazazi wengi miaka ya nyumba hawakuwapa watoto wao uhuru wa kukuza vipaji vyao. Wazazi wengi walikuwa na mtazamo yao ya ni nini wanataka watoto wao wawe wanafanya wanapo kuwa wakubwa. Basi nami kwakweli nilijikuta nikiwa na mtazamo huo huo wakumnyima mwanangu uhuru wa kupata full
Alpha Igogo