alphaigogo.com
Wazo la leo kutoka kwa Le Mutuz - alphaigogo.com
Nilishawahi kusema na ninarudia kwamba I am an imperfect creature of God! I believe in God and I trust him 100% kwamba yupo na ndiye aliyeniumba. That baada ya kuniumba alimaliza the rest of the life game is mine maisha tunaishi kwa kufuata njia zilizotengenezwa na waliotutangulia ambao kati yao kuna waliokuwa na AKILI KUBWAZZ wachache na akili ndogo wengi
Alpha Igogo