alphaigogo.com
“We should all be feminists”! - alphaigogo.com
Ni aibu sana kuona kuwa tupo 21st century na bado haya mambo yanatendeka! Kwamba wanawake hawatakiwi kuwa na ndoto za kufanya vitu vikubwa kisa hato olewa??!! Really! Asipo olewa anakuwa si mwanamke kamili!! Akiolewa hajazaa basi ndoa yake batili!! Akiolewa , kazaa watoto wa kike tupu bado anaonekana hajazaa!! ..........Akifanya mambo makubwa eti huyo uhuni ndo umemsaidia!! Kwakweli sauti
Alpha Igogo