alphaigogo.com
My weight loss journey…….! - alphaigogo.com
Hello my people! Sijasahau nilikuwa kwanza nafurahia the moment by myself kabla ya ku-share nanyi ? Mwili umeanza kuitikia wito; 5 pounds down ?? Nariganje sasa! Utafikiri nineshusha 20 pounds ? Haki vile najisikia raha sana acheni tu nifurahie hata kwa hizo pounds 5 zilizo toka kwani safari ya miles maelfu miamoja zote huwanzia na ziro, moja, kabla ya kufika
Alpha Igogo