alphaigogo.com
My weight loss journey…..! - alphaigogo.com
Kama nilivyo waambia wiki iliyopita kuwa nitakuwa napima uzito wangu naku-share nanyi kila week. Basi leo nimepima na matokea ni kwamba bado sijaanza kupungua uzito. Labda kuanzia next week ndio nitaanza kuona matokeo. Bado nipo na weight ya LB225 ambazo ni karibia na Kg 92 hivi! Well the journey continues this is going to be my life style now. Guys,
Alpha Igogo