alphaigogo.com
Wema ni mwanamke dhaifu sana! - alphaigogo.com
Siku ya jana ilikua ni siku ya wanawake dunia kote, kama ilivyokua kwa wengine basi naye Diamond alipost picha kuonyesha wanawake ambao ni muhimu kwake kama picha inavyo onekana hapo juu ???? na ujumbe wake! Hii nitofauti sana na tabia ya Diamond ambayo kwa miaka mingi amekua akiweka picha ya mama yake au saa nyingine anaweka na za dada
Alpha Igogo