alphaigogo.com
Wifi karibu nyumbani - alphaigogo.com
???? Wifi ii twende nyumbani ii ×2 hapa ndipo nyumbani kwetu karibu mama, karibu kipenzi chetu karibu mama???................#MwanamkeMiguu ?? Hongera sanaaaaaa mdogo wangu William Igogo kwa kumvisha pete ya uchumba my soon to be sister-in law Celina Awii! Mzurijee sasa! Wapendwa naomba niwatambulishe my soon to be sister-in law. Mungu akipenda mwezi June /2016 tutaingia ndani ya mkowa wa Tanga na kumchukua wifi
Alpha Igogo