alphaigogo.com
“Wimbo gani wa Bongo uliowahi kufanywa zamani na kurudiwa na msanii mwingine umefanya vizuri zaidi?”- EATV - alphaigogo.com
Najua kuna tribute za nyimbo za zamani nyingi zimefanyika, lakini hizo hapo chini ? ndio nazipenda zaidi! Hata hivyo Salome ya Diamond naweza sema ndio umeweza kufanya vizuri zaidi ya yote. Hii inatokana na technology ya mitandao pampja na ubunifu wa aina ya uchezaji pamoja na mavazi. Vile vile muamko wa Watanzania kupenda nyimbo za nyumbani kumechangia 1. KARUBANDIKA by Mtoto wa
Alpha Igogo