alphaigogo.com
Wonder woman! - alphaigogo.com
https://youtu.be/MJQZL4FR8D4 Wonder woman ni nani? Je, wewe ni wonder woman?! Wimbo huu ambao umetungwa na mwanamke mwenzetu Zamaradi Mketema na kuimbwa na kaka Chris Lunda ili kuwahamasisha wanawake wasikate tamaa pindi wanapo anguka. Ni wimbo unaovutia nankusisimua mno! Binafsi nimeusikiliza kama mara kumi hivi, lakini kil nilipo usikiliza nikama ndio nausikia kwa mara ya kwanza na unagusa hisia zangu zaidi na
Alpha Igogo