alphaigogo.com
Yes! You go Zari, we’re very proud of you! - alphaigogo.com
Regrann from @zarithebosslady - Wapendwa wangu Sina cha Kuwalipa Zaidi ya kusema ASANTENI sana kwa 4M followers. Ninyi Ni Ma Ndugu kwangu, Mmekua Nami Bega Kwa Bega Kwenye Shida na Raha. Sasa Mnichiangieni $1 kila mtu tujenge clinic ya wanawake sehemu yoyote dar, Najua tukiipata Baba Magufuli atatupa kiwanja....?? #JustSaying PENDA SANA NYINYI.❤ THANK YOU SO MUCH FOR 4M. LOVE YOU ALL? - #regrann Yes!
Alpha Igogo