alphaigogo.com
Zamaradi Mketema: Kama unaweza kupokea machungu yangu bila kunihukumu kwanini ushindwe kuibeba furaha yangu bila kunituhumu - alphaigogo.com
Dunia ya sasa ni dunia ambayo watu hawataki wala kufurahia kuona unasherehekea mazuri yako, na unapofurahia inatafsiriwa kwa namna tofauti na kila mtu atakuangalia kwa jicho lake. Wanachoona sawa ni post za malalamiko na kutamani kila siku upost huzuni zako wakupe pole kitu ambacho sidhani kama ni sawa. Tusichofahamu kila mtu ana kitu kinachompa raha ama satisfaction, tupeane nafasi na
Alpha Igogo