alphaigogo.com
Zamaradi Mketema: Katika kipindi cha Dawa usikimbie Dozi, na wala usilaumu mtu kwa ugonjwa wako - alphaigogo.com
Regrann from @zamaradimketema - Kabla ya kupona kila mtu lazima apate Dawa yake, nyingine huwa chungu, nyingine tamu lakini ndio DAWA. Kwa bahati malengo ya dawa si mabaya ila kukusimamisha tena, kukufanya uogope ugonjwa ulioumwa ili uepuke vyanzo vyake, kutahadharisha na wengine waepuke sababu unajua uchungu wa matibabu yake, kwenye maisha DAWA tunazipata kupitia MATOKEO ya matendo yetu, yale tuliyoyatengeneza
Alpha Igogo