alphaigogo.com
Zilipendwa by WCB! - alphaigogo.com
Ok, let us talk! Zilipendwa ndio wimbo mpya wa Diamond ambao amewashirikisha wasanii wengine toka Wasafi. Tukubali ukweli kuwa wimbo ni mzuri sana. Na video yake nampa 100% kwani you can see talents and creativity kutoka mwanzo mpaka mwisho wa wimbo. Ni kitu unique! Lakini ukweli kabisa, watu tumechoshwa na tabia za Diamond!! Nafikiri huu ndio muda muafaka wa yeye
Alpha Igogo