Kheri ya siku ya Wanawake duniani kote!

Ujumbe siumejitosheleza huu 😍😍 au need I say more 🙈🙈 Najivunia kuwa mwana Mara na zaidi najivunia kuwa mwanamke! Furaha na kheri ya siku ya wanawake kwa wanawake  wenzangu duniani kote!  Tuzidi kuombeana!

Leave a Reply