King Kiba: Thank you Africa

"Thank you Africa! You made it possible to win two awards @afrimawards. Fans across the world Asanteni sana!
Photo credit @joho_001 #KingKiba" Nami naomba nichukue muda huu kumpongeza Mfalme wetu Ali Kiba kwa kututoa kimaso maso! Honestly, Mimi hivi vitu huwa sifatilii kabisa unless nineona kwa mtu ndio maana nimechelewa kupost. Thanks to LeMutuz!...... Hongera sana King Kiba 🙏

Leave a Reply