The Millionaire’s Love Life: Happy Anniversary to them

๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽค (Dr Mengi) Mbona wanitazama, kisha waanza kulia?
Kama nimekukosea, naomba unisamehe

๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽค (Jackie) Hapana hujanikosea, mi nalia kwa furaha
Mapenzi unayonipa, sijawahi kupata

Unaposogea karibu, unaponishika mkono
Unaponitazama machoni, nashindwa vumilia

Mapenzi unayonipa, sijawahi kupata najiuliza ni kwanini, hatukujuana mapema
Nimeishi na wasojua mapenzi, wasojua hata kunyenyekea

Nimeishi na wanaojua ku-force wasojua hata kubembeleza
Ninapokuwa na wewe, najiona ndio mwenyewe
Hata kama sina pesa, najiona tajiri
Hata kama sijala, najiona nimeshiba๐ŸŽถ๐ŸŽถ

***Happy Anniversary baba na mama wawili. Mbarikiwe sana***

Leave a Reply