Be who God wants you to be!

2016-04-02-22-51-15-1 fb_img_1478256347522Binadamu wote ni sawa lakini binadamu wote hatupo sawa inapokuja kwa nafasi yako katika hii dunia! Ishi kulingana na matakwa ya Mwenyezi Mungu. Siku zote pigania kufanya kile unacho amini kuwa Mungu amekutuma ufanye katika hii dunia ili kulitukuza jina lake na kuenzi ukuu wake!…… Hatuwezi wote tukawa Wahubiri injili madhabauni kama #MasanjaMkandamizaji! Lazima kuna mtu atatakiwa akae mlangoni akisalimia na kukaribisha wateule kwenye nyumba ya Bwana! Cha muhimu ni kuomba Mungu akufunulie ujue nafasi yako (your calling)! What’s your purpose of living in this planet?! ….. Kuwa yule mtu ambaye Muumba amekutuma uwe siyo kuangaika kushindania, kulinganisha maisha yako na wengine, kugombana, kuchukia wenzako, kuona wivu, hata kufikia hatua ya kuuwa binadamu mwenzio pasipo huruma wakati wewe ndio umekwenda kwenye mstari usio wako!…… #BeYou #BeWhoGodWantsYouToBe..!  #MyDaughter

Leave a Reply