Huwezi copy personality ya mtu!

Regrann from @mspaulsen – You can copy everything about a person but not her personality its a God given. Just be yourself ??utachekesha…….. – #regrann   Mmesikia hayo maneno toka kwa Madam Rita? Personality ya mtu ni kama DNA huwezi iga wala huwezi kuwadanganya watu! Acha maisha ya kuiga iga kuwa wewe, acha watu wakujue, wakupende, na kukuheshimu kwa kuwa authentic best version of you na siyo kujifanya wewe fulani wakati watu wanakuona ni kitu kingine!

Leave a Reply