“Kumbuka kupanda mti mapema kabla ya Sabato kuingia”-Mama Igogo

screenshot_2016-09-30-09-06-38-1fb_img_1472436063790Kwa Wasabato wenzangu mlioko Tanzania, mnajua kesho ni October1st siku ya kupanda miti Tanzania nzima. Kwabahati mbaya siku hiyo itakuwa siku ya Sabato na wengi wenu mtakua kanisani au nyumbani mkiitunza Sabato. Hivyo mtumishi mwenzenu mama Igogo anawakumbusha kupanda mti wako kabla ya Sabato kuingia ili utekeleze majukumu yako kwa nchi yako kama raiya wa hii dunia na wa taifa lako!…,,,,,,Kutii maagizo ya viongozi wako ni sehemu ya ukristo wako! Happy Sabbath to all Seventh Day Adventist believers around the world! ??

Leave a Reply